Edit source Talk

Appropedia:Wasiliana nasi

From Appropedia
Page data
Authors Christopher Sam
Published 2011
License CC BY-SA 4.0
Derivative of Appropedia:Communications
Language Kiswahili (sw)
Automatic translations

Tungependa kusikia toka kwako ![edit source]

Mahali pazuri sana kuacha ujumbe daima ni kwenye Appropedia talk:Village pump, ambapo jamii yote inaweza kujiunga kwenye mazungumzo.

Kama utachagua kutuma barua pepe, basi itume kwenda: info@appropedia.org

Anuani ya barua[edit source]

Anuani ya barua ni Arcata, California, 95521, USA. Hii sio ofisi rasmi, kwa kuwa tunafanya kazi katika vituo tofauti.

Kama utapenda kuwasiliana nasi kwa njia ya posta, tafadhali tuma kwanza barua pepe (hapo juu). Asante.