Appropedia:Malengo na azma

From Appropedia

Lengo letu ni kuwa binadamu wote wawe na uwezo wa kufanya kazi pamoja kuendeleza na kufikia maisha ya kitajiri na endelevu. Tunajenga miundombinu na kusaidia kuunganisha na kutangaza maudhui huru kutimiza lengo. Tunatoa maktaba ya mali hai kwa watu na asasi tukilenga uendelevu na afya zaidi kwa maisha yajayo, ili juhudi zitumike zikikua badala ya kurudia(duplicating) juhudi za nyuma.

Tunaeleza kwa kifupi azma na malengo yetu kwa njia hii,

' Kuchangia maarifa ili kujenga maisha ya kitajiri na endelevu '.

Angalia pia[edit source]