Appropedia:Kuhusu

From Appropedia
Jump to navigation Jump to search
Kuchangia maarifa ili kujenga maisha ya kitajiri na endelevu.
Jihusishe!
Appropedia ni wiki kwa hiyo unao uwezo wa kuhariri na kuchangia maelezo na kushirikiana na wengine kupunguza alama katika ikolojia yaani ecological footprint ili kuishi kitajiri na kindugu na mazingira yetu na maliasili. Unaweza kuanza kuchangia baada ya kutengeneza akaunti au ingia kama tayari unayo akaunti.


Appropedia ni nini?[edit]

Appropedia ni wavuti ya ufumbuzi wa pamoja katika uendelevu, kupunguza umaskini, na maendeleo ya kimataifa kwa kutumia kanuni bora na teknolojia sahihi na kuchangia hekima na maelezo ya miradi. Hii ni wiki, yaani aina ya tovuti inayoruhusu mtu yeyote kuongeza, kuondoa, au kuhariri yaliyomo. Usajili unahamasishwa lakini hauhitajiki kwa wachangiaji. Appropedia imeelezwa kama wiki ya 'teknolojia sahihi', lakini ni pana zaidi-hii ni wiki ya kijani na wiki ya mambo yote ya maendeleo ya kimataifa na msaada. Lakini muhimu zaidi, Appropedia ni tovuti huru kwa washikadau kuja pamoja kupata, kutengeneza na kuboresha fumbuzi zinazoweza kuasiliwa na kuwekwa katika skeli(scale). Kwa zaidi juu ya chachu yetu angalia Appropedia:Malengo na azma.


Appropedia ilianza mwezi wa nne/aprili 2006. Katika hatua za mwanzo ilikuwa ni ushirikiano baina ya mashabiki/wapenzi toka Marekani na Australia na ikakua haraka kuwa mradi wa kidunia.

A number of other similar sites have joined Appropedia since its inception, bringing many content pages, readers and contributors, including:

More details: Appropedia:A history of collaboration.

Yaliyomo kwenye Appropedia[edit]

Appropedia welcomes contributions of many types of content:

  • Project histories and project how-tos
  • Textbook-style information, tables, and figures
  • Designs
  • Photographs and illustrations
  • Information for finding supplies and help
  • Links and information on other organizations
  • Collaboration pages for co-creating solutions
  • Discussion pages for commenting on work done and work that needs to be done
  • More - whatever aids the causes of sustainability and overcoming poverty.

Watu wanaoiwezesha Appropedia[edit]

Wewe[edit]

The community of contributors and visitors makes Appropedia work, and makes working at Appropedia meaningful.

Founder, admin and bureaucrat[edit]

Watawala waanzilishi[edit]

Watawala wengine[edit]

Msaada wa kiufundi[edit]

Msingi[edit]

Oversight of Appropedia is provided by The Appropedia Foundation, which has a global focus and an international board of directors. It is registered in California as a non-profit organization and has 501(c)(3) (tax-exempt) status.

Maswali zaidi?[edit]

Je una swali juu ya kushiriki? Je unajiuliza juu ya shughuli halisi za Appropedia?Unaanzisha tovuti na unajiuliza ni vipi inafaana na Appropedia? Angalia Appropedia:FAQ, na kama unamaswali zaidi, wasiliana nasi.

Angalia pia[edit]