Afya bora ni hali safi ya mwili, kimaumbile na kiakili na pengine hali nzuri ya mawasiliano na wengine. Afya bora inatokana na kula mlo kamili kwa wakati, mazoezi ya mwili, usingizi mwema, hewa safi na kutokuwa na magonjwa.

Faharasa[edit | edit source]

Rivers-Smith, S. Afya, Macmillan and Co.,Ltd. London, 1966

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.