Teknolojia sahihi ni teknolojia ambayo ni sahihi kwenye mazingira husika, utamaduni na hali ya kiuchumi ya eneo lengwa. Mara nyingi inaelezea teknolojia zinazofaa kutumika sehemu kubwa ya dunia (au nchi zinazoendelea)

Appropedia ni wiki ya teknolojia sahihi(na zaidi) na kurasa nyingi kwenye tovuti hii zinaweza kusemwa kuwa zinahusu teknolojia sahihi. Teknolojia sahihi haihusu kutafsiri teknolojia fulani kama sahihi katika hali zote lakini ni kuhusu kanuni za kuchugua teknolojia itakayofaa zaidi katika hali fulani.

Lengo la wavuti hii ni vipelekezi kwenye Vipengele vya Appropedia ambao unajumuisha mifano ya teknolojia sahihi zinazofaa kwenye sehemu kubwa ya dunia.

Cookies help us deliver our services. By using our services, you agree to our use of cookies.